Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Janii (NSSF) Dk,Ramadhani Dau (kushoto) akizungumza wakati wa ziara ya Bodi ya Wadhamini wa (NSSF) walipotembelea mradi wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na NSSF za DEGE ECO VILLAGE eneo la Kigamboni Dar es Salaam.Kulia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Abubakar Rajab.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa NSSF Abubakar Rajabu (wa sita kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk,Ramadhani Dau (wa tatu kushoto) na Wajumbe wa Bodi wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya jengo litakalokuwa la mapokezi.
Kila Jengo moja linajengwa kwa muda wa siku 20.
Majengo yakiwa katika mstari.
Majengo ya kisasa yakiendelea kujengwa kwa kasi.
Mafundi wakiendelea na Ujenzi.
Nafundi kazini kwa sana.
Wakuu wakiwapita mbele ya Jengo litakalokuwa mapokezi.
1 comment:
Weka picha ya ramani ya nyumba hizo tuone zikiisha ziyakavyoonrkana
Post a Comment