Waziri Viwanda na Biashara Dkt,Abdallah Kigoda (kushoto) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa Kongamano la Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji,Msimamizi wa matawi ya Exim Bank,Elizabeth Mayengoh.Kongamano hilo liliandaliwa na NUEBRAND EC na kuthaminiwa na Tanzania Standard Newspapers (TSN) na Makampuni mengine yalifanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam.
Waziri Viwanda na Biashara Dkt,Abdallah Kigoda (kushoto) akimkabidhi
cheti cha ushiriki wa Kongamano la Wiki ya Huduma za Kifedha na
Uwekezaji,Meneja Mahusiano Bima kwa Wateja Wakubwa Benki ya CRDB,Nargis Mohamed.
Wajasiriamali wakifuatilia jambo wakati wa kufunga Kongamano.
Wajasiriamali wakifuatilia jambo wakati wa kufunga Kongamano.
Wajasiriamali wakifuatilia jambo wakati wa kufunga Kongamano.
Wajasiriamali wakifuatilia jambo wakati wa kufunga Kongamano.
Waziri Viwanda na Biashara Dkt,Abdallah Kigoda (kushoto) akimkabidhi
cheti cha ushiriki wa Kongamano la Wiki ya Huduma za Kifedha na
Uwekezaji,Mwakilishi wa TSN Francis.
Mwakilishi wa TSN Francis akiwa na cheti chake kwa upande wa wadhamini.
Waziri Viwanda na Biashara Dkt,Abdallah Kigoda (kushoto) akimkabidhi
Kombe la ushindi wa Kongamano la Wiki ya Huduma za Kifedha na
Uwekezaji,Msimamizi wa Matawi Benki ya Exim Egnes Kaganda.
Wafanyakazi wa Benki ya Exim wakishangilia baada ya kuibuka washindi wa kutoa mafunzo.
Waziri Viwanda na Biashara Dkt,Abdallah Kigoda (kushoto) akimkabidhi
Kombe la ushindi wa Kongamano la Wiki ya Huduma za Kifedha na
Uwekezaji,Meneja wa tawi la Kariakoo Benki ya Watu wa Zanzibar,Badru Idd.
Waziri Viwanda na Biashara Dkt,Abdallah Kigoda (kushoto) akimkabidhi
Kombe la ushindi wa Kongamano la Wiki ya Huduma za Kifedha na
Uwekezaji, Meneja Uhusiano Benki ya CRDB,Albert Michael.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakishangilia na Kombe lao.
No comments:
Post a Comment