Rais Mstaafu awamu ya nne Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nyaraka
kama ishara ya kukabidhi rasmi ofisi kwa Rais Mpya awamu ya tano
Dk.JohnPombe Magufuli wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam.

Rais Dk.John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu awamu ya nne Dk.Jakaya Kikwete,wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Samia
Hassani Suluhu na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue muda mfupi
baada ya Rais Mstaafu Kikwete kumkabidhi rasmi Ofisi Rais Dk.John
Magufuli Ikulu Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment